Mix

PICHA 27: Red carpert mpaka ndani kwenye Love, Melodies and Lights

on

LML – Love Melodies and Lights ni event ambayo iliandaliwa kuutendea haki mwezi huu wa mahaba ambapo japo imefanyika siku tatu baada ya Valentine’s day.. hakika imeutendea haki mwezi wa Wapendanao.

Show ilisimamiwa na Waimbaji hodari wa bongofleva Baraka The Prince, Jux na Ben Pol lakini ndani yake kukawa na suprise za nguvu ikiwemo kuwaleta kwenye stage Wakongwe kama Saida Kalori.

G Nako na Mupenzi

Idris Sultan

Timbulo

Mwigizaji Jackline Wolper

Quick Rocka na Feza Kessy

Shaa

Balla, Dogo Janja, Madee na Manager Maneno

Warembo kwenye tabasamu la nguvu na Mwimbaji Linah aliyesimama katikati

Saida Kalori kwenye stage

Aika na Nahreel wa Navy Kenzo wakicheza na Saida Kalori

OnAIR: Irene Uwoya afunguka kuhusu Mwanamke ataemchukulia Mwanaume, Wanaume wanaokwenda Saluni, Mwanaume anatakiwa kufanya nini akimpenda? akimfumania Mwanaume inakuaje? bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments