LML – Love Melodies and Lights ni Event iliyofanyika usiku wa February 18 2017 Leaders Club na kudhihirisha kwamba kuna watu Wabunifu Tanzania wanaoweza kuandaa tukio na ukatoka umeridhika bila hata kutamani kudai chenchi.
Kwenye Red carpet AyoTV ilipata nafasi ya kuhoji mastaa mbalimbali akiwemo Linah ambaye kwa sasa ni mjamzito, Navy Kenzo pamoja na Petitman, tazama ilivyokua kwa kubonyeza play hapa chini
VIDEO: Irene Uwoya aongea kuhusu Mwanamke ataemchukulia Mwanaume, Wanaume wanaokwenda Saluni, Mwanaume akimtaka afanyaje na mengine…. TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo