Duniani

VIDEO & PICHA 4 : Shambulio la Kisu lililotokea London, Mtu mmoja amefariki

on

Moja kati ya habari inayomake headline kwenye vyombo vya habari vya kimataifa leo August 04 2016 ni hii ya mauaji yaliyotokea Russell London Uingereza usiku wa August 3 2016 ambapo watu sita wamechomwa kisu na kupelekea mmoja kupoteza maisha na watano kujeruhiwa,.

Polisi wamemtaja mtuhumiwa wa tukio hilo kuwa ni kijana wa umri wa miaka 19 raia wa Norway lakini asili yake ni SomaliaPolisi wameongezea kuwa mauaji hayo yamehusishwa watu wenye uraia tofauti tofauti, aliyeuwawa ni mwanamke mmoja raia wa marekani  na watano waliojeruhiwa ni raia wa Australia, Israel, Uingereza na Marekani.

cnnn

landani

kufa

kkugg

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA MAMBO MATATU YALIOPIGWA MARUFUKU WILAYA YA KONGWA NA DC NDEJEMBI? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUEKEA VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments