Habari za Mastaa

NgomaMPYA: Linex kaimba wimbo wa kumshukuru Mungu ‘yaongoze’

on

Linex ni mwimbaji mwingine hodari kutoka kwenye bongofleva ambapo time hii ameipa millardayo.com nafasi ya kipekee kwa kuachia wimbo wake ya GOSPEL unaitwa “Yaongoze” ukishausikiliza usisahau kuacha comment yako mtu wa nguvu

VIDEO: Mimi Mars, mdogo wake Vanessa Mdee kaingia kwenye Bongo Flavour…. bonyeza play hapa chini

Tupia Comments