AyoTV

Baraka da Prince akasirishwa kuona Linex kasema amefanya upuuzi kusambaza video ya Mwanamke Whatsapp

on

Kupitia kwa Soudy Brown kwenye YOU HEARD ya CloudsFM, mwimbaji staa wa bongofleva Linex alihojiwa kuhusu ishu inayoendelea kwenye mtandao wa Whatsapp ya kusambazwa kwa video ya mpenzi mpya wa Linex akionekana mapenzini kitandani na mwimbaji Baraka Da Prince ambaye anatajwa kuwa mpenzi wake wa zamani hivyo Baraka anatuhumiwa kuisambaza hiyo video.

Baada ya hii ishu kumfikia Baraka, ameongea kwenye Exclusive na AyoTV na kusema ‘Sijawahi kutembea na mtu ambaye katembea na Linex…. kwanza hawezi kutembea na mtu ambaye mimi natembea nae, yeye labda ndio anataka hiyo kiki ila mimi siwezi kutaka kiki kwa Linex, Linex kanikosea

Ukitaka kuona kila kitu alichosema Baraka bonyeza play kwenye hii video hapa chini….

HUKUONA HIKI KIPISI CHA MOVIE? MUME KAENDA KAZINI ALAFU MKE AKALETA MCHEPUKO NYUMBANI? TAZAMA HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments