AyoTV

VIDEO: Manusura wa ajali ya basi la Shule ya Lucky Vincent walivyowasili

on

Wanafunzi manusura wa ajali ya basi la Wanafunzi wa Lucky Vincent iliyotokea May 6, 2017, Karatu na kupoteza maisha ya wanafunzi 32, walimu 2 na dereva leo August 18, 2017 wamewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutoka Marekani walipokuwa wakipatiwa matibabu.

Watoto hao ambao ni Sadia, Wilson na Doreen wamepokelewa na wananchi na viongozi wa Serikali, wanafunzi wa shule yao huku wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira ambapo ilifanywa sala ya shukrani na kuwaombea wenzao waliofariki.

ULIPITWA? Watoto manusura wa ajali ya basi la Wanafunzi wa Lucky Vincent walivyopokelewa KIA

Uliiona hii?Kama ulitarajia kupigwa mnada jengo la ghorofa saba, hiki ndio kilichotokea 

Soma na hizi

Tupia Comments