AyoTV

VIDEO: Kutana na Mtanzania anaefanana na Jay Z kimuonekano mpaka sauti

on

After School Bash ni tamasha ambalo huwa linafanyika kila mwisho wa mwaka na kukutanisha Wanafunzi mbalimbali na mastaa wa muziki bongoflevani, pamoja na hayo huwa kunafanyika mashindano mbalimbali ikiwemo ya hawa wanaofanana na mastaa…. Tazama hii video hapa chini kujionea

VIDEO: Tazama Watanzania wanaofafa na Diamond, Ngwea, Balotelli, Bruno Mars na wengine kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments