AyoTV

Watanzania wanaofanana na Chidi Benz, Diamond, Ngwea, Bruno Mars na Balotelli walipojitokeza.

on

Screen Shot 2014-04-01 at 10.37.44 PMPresenters wa XXL ya CLOUDS FM (88.5 Morogoro) ndio wapo kwenye stage kuendesha zoezi la kumtafuta mshkaji aliefanana na staa yeyote tunaemfahamu, hii ni kutoka XXL After school bash iliyofanyika Dar es salaam.
[youtube youtubeurl=”M9FtmboeTYE” ][/youtube]

Baada ya kuitazama hii video, nani katisha zaidi hapo?

Tupia Comments