Top Stories

Lori laangukia nyumba likimwaga mchanga (+video)

on

Gari aina ya Scania ambalo lilikuwa likimwaga mchanga katika kata ya Ungalimited mtaa wa Lolovono Mkoani Arusha limeanguka na kuvunja nyuma ambapo pamoja na kuharibu nyumba kuna Watu wamejeruhiwa.

 

Soma na hizi

Tupia Comments