Top Stories

Maagizo ya kamati ya Bunge baada ya kukuta jeshi la Polisi linadaiwa Bilioni 1.2 bili za maji

on

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mary Nagu leo January 20, 2018 imefanya ziara katika Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA).

Katika ziara hiyo Mary Nagu ameagiza Taasisi za Serikali kulipa deni la zaidi ya Tsh Bilioni 1.4 zinazodaiwa kwa kutolipa bili za maji huku akieleza kuwa Jeshi la Polisi linadaiwa Tsh Bilioni 1.2.

BREAKING ‘Ninawapa wiki moja la sivyo tutavunja mkataba na TBA’- Waziri Ndalichako

‘Dhamana kubwa ya Wananchi ni Ardhi’ -Mkurugenzi Wizara ya Ardhi na Makazi

Soma na hizi

Tupia Comments