AyoTV

(EXCLUSIVE+NUKUU)-‘SIJAJUTA NA SITEGEMEI KUJUTA”-LOWASSA

on

Leo January 9 2018 Kama unazifuatilia stori zilizotengeneza headlines kubwa siku ya Leo, Ni ya Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa kukutana na Rais JPM Ikulu Dar es salaam, baada ya maongezi yao kumeibua  mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii.

Moja kati ya Exclusive Ayo TV imewahi kufanya na Edward Lowassa  ni Je ameshawahi kujuta kuhama CCM ‘Sijajuta, sitegemei kujuta naomba mungu anisaidie nishinde‘-Lowassa

JPM IKULU: “Lowassa hakuwahi kunitukana hata siku moja”

Soma na hizi

Tupia Comments