Mix

VIDEO: “Siasa sio kupigana ni kupingana kwa hoja”- Edward Lowassa

By

on

March 16 2017 viongozi wakuu wa kamati kuu CHADEMA walikuwa kwenye majimbo ya mkoa wa Pwani ambapo timu ya mjumbe wa kamati kuu na waziri mkuu mstaafu mstaafu Edward Lowassa walikuwa Jimbo la Mkuranga na katika mkutano huo Edward Lowasa amesema ………

“Siasa sio kupigana ni kupingana bila kupigana, tunapingana kwa hoja, ukinishinda kwa hoja basi nakushukuru, nikikushinda na wewe nenda, tukianza kutafutana hivi kwa sababu tumetofautiana vyama, vyama ni vyombo vya kutupeleka tunapotaka sio kitu cha msingi, mama Tanzania atakuwepo vyama vitapita”-Edward Lowassa

Kujua zaidi alichokisema kwenye mkutano huo bonyeza play hapo chini .

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa, Bonyeza play hapa chini 

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments