Mix

Pichaz nyingine kutoka Mbeya ilivyokuwa kwenye mapokezi ya Lowassa August 14 2015

on

Mbunge wa Monduli anayemaliza muda wake, Waziri Mkuu wa zamani na Mgombea Urais aliyepitishwa na CHADEMA pamoja na Umoja wa UKAWA, Edward Lowassa alianza safari ya kuzunguka Mikoani kutafuta Wadhamini ambapo safari yake jana alianzia Mbeya.

IMG-20150815-WA0015

Freeman Mbowe akisindikizwa na Vijana wa Red Brigade baada ya kufika kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe Mbeya ambapo Mkutano wa CHADEMA ulifanyika.

Tulizipata pichaz za kwanza kutoka huko na hizi ni nyingine pia ambazo zimenifikia nikaona nizisogeze hapa na wewe uone kila kilichoendelea baada ya Mgombea Urais huyo kupokelewa na watu wa Mbeya.

IMG-20150815-WA0030

Mgombea Urais Edward Lowassa akipunga mkono kuwasalimia watu waliojitokeza kwenye Mkutano huo Mbeya.

IMG-20150815-WA0025

Mbwembwe haziko mbali kwenye Mikutano ya Kisiasa, hii ni bodaboda au Helikopta?!!

IMG-20150815-WA0018

IMG-20150815-WA0031

Edward Lowassa akiendelea na Kuhutubia.

IMG-20150815-WA0032

Camera za Waandishi wa Habari pamoja na watu waliojaa kwenye Viwanja hivyo kwenye Mkutano wa CHADEMA.

IMG-20150815-WA0021

.

Mby

.

IMG-20150815-WA0024

Baada ya kumaliza Mkutano huo, hapa ilikuwa time ya kuwaaga watu wa Mbeya.

IMG-20150815-WA0017

Ziara ya Mgombea huyo Urais inaendelea Mikoa mingine, August 15 ni Arusha.. Nitazisogea updates zote kila zinaponifikia mtu wangu !!

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments