Top Stories

Lowassa amepokelewa hivi Makao Makuu ya CUF Buguruni, safari imeanza kwenda NEC… (+Pichaz)

on

IMG_4005

 

Kwa kauli moja Vyama vinavyounda Umoja wa UKAWA vilithibitisha kuyapitisha majina matatu kwenye safari ya Kugombea Urais TZ Bara pamoja na Z’bar… majina hayo ni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa na Juma Haji Duni kwa upande wa TZ Bara, na Visiwani Zanzibar Mgombea ni Maalim Seif.

IMG_4006

Mbunge James Mbatia

August 10 2015 safari ya Wagombea wa UKAWA pamoja na Wanachama wa Chama hicho wameanza msafara kuanzia Buguruni Dar, kuelekea Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kwa ajili ya Wagombea hao kuchukua Fomu hizo.

IMG_4024

Naanza kukusogezea hizi pichaz za kwanza kutoka Makao Makuu ya CUF Buguruni.

IMG_4007

IMG_4009

IMG_4010

Mbunge wa Arusha, Godbless Lema.

IMG_4012

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’

IMG_4013

IMG_4015

IMG_4016

Muonekano wa Makao Makuu ya CUF Buguruni Dar es Salaam.

IMG_4017

IMG_4018

 

IMG_4022

Mgombea Urais Edward Lowassa akiwa ameongozana na Freeman Mbowe na James Mbatia.

IMG_4023

Watu wa Usalama wako pembeni pia kuhakikisha Usalama unakuwepo wakati wote.

IMG_4025

IMG_4026

 

IMG_4028

IMG_4031

IMG_4032

 

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments