Mix

Cha kufahamu baada ya kesi ya Freeman Mbowe kuendelea Mahakama kuu leo

on

Kutoka Mahakama kuu Dar es salaam sasa hivi Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu ameongea baada ya kutoka Mahakamani jioni hii kwenye kesi iliyofunguliwa na Freeman Mbowe dhidi ya Mkuu wa Mkoa DSM na Kamshna Sirro.

Tundu Lissu amewaambia Waandishi wa habari kwamba Amri ya kuzuia Freeman Mbowe asikamatwe na wala kuwekwa kizuizini na Polisi inaendelea isipokua wanaweza kumuita kwa Mahojiano ambapo pia Mahakama itatoa maamuzi March 2 2017, zaidi unaweza kumtazama Tundu Lissu hapa chini

FULL VIDEO: Wema Sepetu pembeni ya Freeman Mbowe Mahakama kuu leo Dar es salaam tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments