AyoTV

VIDEO: ‘Serikali ya kutumbua majipu haiwezi kuacha kutumbua magazeti ya uchochezi’-JPM

on

Rais Magufuli leo January 13 2017 akiwa Shinyanga ametoa onyo kwa magazeti mawili ya Tanzania ambayo anasema yamekua yakiandika habari za uchochezi na kupotosha Wananchi.

Bila kuyataja magazeti yenyewe, JPM amenukuliwa akisema….>>> ‘Serikali ya kutumbua majipu haiwezi kuacha kutumbua magazeti yanayofanya mambo ya uchochezi, hatuwezi kuiacha Tanzania ikawa dampo la eneo la kuweka maneno ya uchochezi, chini ya utawala wangu hilo halitokuwepo

VIDEO: Mhadhiri wa chuo akamatwa kwa rushwa ya ngono, Bonyeza play hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments