AyoTV

VIDEO: Kutoka Lubumbashi magoli ya mechi ya TP Mazembe vs Yanga August 23, Full 3-1

on

August 23 2016 klabu ya TP Mazembe ili ikaribisha Yanga katika mchezo wake wa mwisho wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika, mchezo umechezwa katika uwanja wa Stade TP Mazembe na kumalizika kwa TP Mazembe kuibuka na ushindi wa goli 3-1, magoli ambayo yamefungwa na Jonathani Bolingi dakika ya 28, Raiford Kalaba dakika ya 55 na 64 wakati goli la Yanga lilifungwa na Amissi Tambwe dakika ya 75.

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

 

Soma na hizi

Tupia Comments