Premier Bet
TMDA Ad

Miji/Nchi

PICHA 16: Muonekano wa mji wa Lubumbashi na mitaa yake

on

Mtu wangu wa nguvu ambaye unapenda kufahamu miji tofauti tofauti ya ndani na nje ya Afrika ilivyo, leo August 25 nimekuletea list ya picha 16 za muonekano wa mji wa Lubumbashi DRC Congo, kuna mengi ya tofauti na Tannzania katika mji wa Lubumbashi ikiwemo kuna nyumba nzuri lakini maghorofa ni machache tofauti na Dar es Salaam.

DSC_2791

Daraja la chuma ambalo linatumiwa na raia kuvuka barabara ni sawa na lile linaloendelea kujengwa Buguruni Dar es Salaam.

DSC_2835

DSC_2843

DSC_2846

DSC_2849

DSC_2730

DSC_2739

DSC_2747

DSC_2755

DSC_2784

DSC_2904 - Copy

Sehemu ya abiria wanaondoka Lubumbashi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luano.

DSC_2984

Muonekano wa nyuma wa sanamu ya Rais wa zamani wa Congo mzee Kabila

DSC_2716

Moja kati ya makanisa makubwa yaliyopo katika mji wa Lubumbashi

DSC_2721

DSC_2724

DSC_2726

Kifaa kinachotumika Restaurant za Lubumbashi kumjulisha mteja chakula chake tayari

Soma na hizi

Tupia Comments