Habari za Mastaa

Ludacris acheza faulo nje ya uhusiano wake.

on

luda2Licha ya kuwa kwenye uhusiano ya muda mrefu na mchumba wake Eudoxie, Ludacris bado amecheza faulo nje ya uhusiano wao.

luda

Hivi karibuni  habari zimetoka kwamba Ludacris amepata mtoto nje ya uhusiano wake kitu ambacho kinatafsiliwa kwamba alitoka nje ya uhusiano wake.

Mama wa mtoto huyo amejulikana kwa jina la Tameka Fuller ambaye alisoma pamoja na Ludacris kupindi cha high school na walikuwa na uhusiano kipindi hicho.

Ludacris ana mtoto mwingine wa kike na hivi sasa amepata binti mwingine anaitwa Cai Bella Bridges na bado anaendelea kuwa na uhisiano na Eudoxie.

Ludacris hajakataa kuwa baba wa mtoto huyo japokuwa ripoti zinasema kwamba ametaja kiasi kidogo sana cha pesa ambacho atatoa kwa ajili ya malezi ya mwanae(child support) ukilinganisha na kipato chake anachopata.

Tupia Comments