Ad

Top Stories

Lukuvi awashukia Wakurugenzi kisa kodi “hampeleki hela, mnakula” (+video)

on

Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amesema ataanzisha ugomvi maalum dhidi Halmashauri mbalimbali nchini ikiwemo kwa Wakurugenzi na Watendaji wake kwa kushindwa kukusanya kodi.

Waziri Lukuvi ameyasema hayo Jijini Dar es Salaam ambapo pia ametaja sababu ya kumsimamisha kazi Ofisa Kamishina Msaidizi wa mkoa wa Njombe.

Soma na hizi

Tupia Comments