AyoTV

VIDEO: Agizo la Waziri Lukuvi kwa wasiolipa kodi ya Ardhi

on

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wananchi wote ambao hawajalipa kodi ya ardhi mwaka 2016/2017 walipe kodi hiyo kabla ya June 30, 2017.

Waziri Lukuvi amesema watakaoshinda kutekeleza agizo hilo watachukuliwa hatua ikiwepo kufikishwa Mahakamani na kufutiwa hati za umiliki wa ardhi.

Bonyeza play hapa chini kutazama..

VIDEO: “Tutapokea taarifa na tutakuhifadhi, hatukusemi” – Waziri Mkuu Majaliwa. Bonyeza play kutazama…

Soma na hizi

Tupia Comments