Habari za Mastaa

Lulu ajibu habari za kumfumania Majizzo (video+)

on

Mitandao ya kijamii imewapa wengi uhuru wa kuandika mengi, mengine ni kweli mengine sio kweli, leo Mwigizaji Elizaberth Michael (Lulu) ametumia muda wake kujibu maswali ya wengi kuhusu habari za kumfumania Mume wake ambae ni Majizzo.

LULU AONESHA DUKA LAKE JIPYA ANALOMILIKI “PESA ZINATAFUTWA”

Soma na hizi

Tupia Comments