Habari za Mastaa

Lulu kafunguka “Siongei na Hamisa, hatuna mazoea”

on

Mwigizaji Elizaberth Michael ( Lulu ) amefunguka kuwa yeye na Hamisa Mobetto aliyezaa na mchumba wake kuwa hawaongei licha ya kuwa yeye na mtoto wa Hamisa wanaishi vizuri.

Lulu amesema licha ya kuwa haongei na Hamisa lakini pia bado Hamisa amekuwa akiongea mchumba wake Majizo kuhusu mtoto na yeye haoni shida.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikia Lulu akifunguka

HUYU NDIYE MSANII ALIYETAMBULISHWA NA PRODUCER ABBAH, WAMEZUNGUMZA HAYA

Soma na hizi

Tupia Comments