Habari za Mastaa

Pichaz 20 za mapokezi ya Lulu Airport baada ya ushindi Nigeria.. Wema Sepetu ni miongoni mwa waliompokea

on

Baada ya kuwasili kwa Single Mtambalike na tuzo yake ya filamu bora ya Kiswahili kutokea Lagos Nigeria, March 8 ilikuwa ni zamu ya Elizabeth Michael ‘Lulu’ nyumbani na tuzo yake ya filamu bora ya Afrika Mashariki, mtu wangu wa nguvu nimekusogezea Pichaz 20 za watanzania walivyojitokeza kuipokea tuzo hiyo ya Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016.

3X6A7296

Lulu akiwasili Airport Dar

3X6A7325

Baba na mama mzazi wa Lulu walikuwepo kumpokea mtoto wao

3X6A7385

Waandishi nao hawakuwa nyuma kunasa sauti ya Lulu akizungumza kwa furaha ya ushindi

3X6A7393

3X6A7398

3X6A7440

Shangwe zikahamia barabarani sasa kuelekea Escape One

3X6A7441

3X6A7476

Baba yake Lulu na wadogo zake kwenye gari

3X6A7502

Baada ya kufika Escape One Lulu alipanda juu ya gari na kuanza kucheza

3X6A7506

3X6A7512

3X6A7528

Pichaz zikaendelea na mashabiki wake

3X6A7554

Akiongea na waandishi wa habari akiwa na baba na mama yake Wema Sepetu akionekana kwa mbali

3X6A7565

3X6A7578

\ 3X6A7583

3X6A7600

3X6A7612

3X6A7629

A

Wema Sepetu alikuwepo kumpokea Lulu na kumvisha taji

ULIMIS JINSI RICHIE RICHIE ALIVYOPOKEWA UWANJA WA NDEGE BAADA YA KUSHINDA TUZO NIGERIA?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments