Habari za Mastaa

Video fupi zikionyesha jinsi mwigizaji Lulu alivyopokewa Airport Dar baada ya kushinda tuzo Nigeria

on

Jumamosi ya March 5 2016 Waigizaji wawili wa Tanzania walishinda tuzo kwenye tukio la Africa Magic Viewer’s choice Awards 2016 huko Lagos Nigeria ambao ni Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth MichaelLulu’ ambapo Richie aliwasili kesho yake lakini Lulu ndio amerudi Tanzania leo March 8 2016 na kupokelewa Airport Dar es salaam, unaweza kutazama hivi vipisi vya video wakati ukisubiria mzigo kamili hapa millardayo.com na kwenye Youtube channel ya ‘millardayo


.


.

ULIKOSA KUTAZAMA? JINSI RICHIE ALIVYOPOKELEWA BAADA YA KUSHINDA TUZO NIGERIA? TAZAMA HIZI VIDEO HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments