social network

Yafuatayo ni maneno 44 yaliyoandikwa na Lulu baada ya kuzushiwa kifo….

on

Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni staa kutoka kiwanda cha filamu Tanzania, hii leo Feb 22 amezichukua headline kwa kuandika yafuatayo kupita mtandao wake wa instagram kuhusu kuzushiwa kifo.

>>>’Nasikia nimekufa wewe uliyepost  hii kama wewe utakwepo tutaonana tena 2017 inshaalah alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri Kwanza (niki repot LIVE kutoka heaven) this shows jina langu lina KIKI nishasema mniache jmn watsup Kufa nitakufa sikatai lkn mpk nimalize miaka iliyoandikwa kwenye Biblia’elizabeth

 • elizabethmichaelofficialNasikia Nimekufa ??????
  Wewe uliyePost hii???Kama wewe utakuwepo TUTAONANA TENA 2017 Inshaallah
  Alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri kwanza?
  (Niki report LIVE kutoka heaven)?
  This shows how Jina Langu lina KiKi?nishasema MNIACHE JMN?watsup!????
  Kufa ntakufa SIKATAI lkn mpk nimalize MIAKA ILIYOANDIKWA KWENYE BIBLIA?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments