AyoTV

FULL VIDEO: Mwanzo mwisho Lulu alivyoitembeza tuzo yake kwenye Range Rover

on

March 8 2016  mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ alirudi nyumbani Tanzania na tuzo yake ya filamu bora ya Afrika Mashariki aliyoishinda huko Lagos Nigeria kwenye tuzo za Africa Magic 2016, AyoTV ilimnasa kwenye matukio yote kuanzia uwanja wa ndege…. yatazame kwenye hii video hapa chini

Ilikupita hii ya Msanii Richie alivyowasili Airport Dar na tuzo yake kutokea Nigeria ….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments