Burudani

Luludiva katuonesha orodha ya nyimbo zinazopatikana katika EP yake ‘The 4 Some’

on

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani, Luludiva ambae time hii ametuonesha orodha ya nyimbo zake zinazopatika kaaika EP yake aliyoipa jina la The 4 Some.

Staa huyo kupitia ukurasa wake wa instagram alipost cover ikionesha nyimbo nne mpya ambazo zitapatikana katika EP yake ikiwemo

1.GUGU GAGA akiwa amemshirikisha FID Q

2.Come Again akiwa amemshirikisha msanii wa Uganda Eddy Kenzo

3.Sawa akiwa amemshirikisha Khaligraph Jones

4.King’au Nga’au

 

Soma na hizi

Tupia Comments