AyoTV

VIDEO: Mbunge Lusinde alivyosimama kusema anawapongeza Upinzani

on

Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde hajapendezwa na baadhi ya wabunge kukosoa utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli pamoja na watendaji wake na ameamua kuyaongea haya >>> ‘wanaposimama kusema serikali imefilisika msifikiri wanaisema serikali… HAPANA‘ 

Kutazama zaidi bonyeza play kwenye hii video hapa chini…..

VIDEO: Uliikosa ya Naibu spika Dr. Tulia vs Freeman Mbowe baada ya kusimama na kumuuliza swali Waziri mkuu kuhusu Wabunge wa CCM kupewa milioni 10 kwenye kikao cha saa mbili usiku? tazama hii video hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments