Mix

Kwenye treni a kifahari zaidi Duniani, ziko na hizi hapa… Afrika ziko mbili na pichaz zake ndani..

on

Kati ya usafiri unaoamini zaidi kutumika na pia hutumiwa na watu wengi zaidi ni treni..miaka ya sasa safari za treni zimeimarishwa zaidi hasa kwa nchi zilizoendelea.

Kwa nchi za wenzatu treni zimekuwa zikitumiwa kama usafiri wa daladala kutoka kituo kimoja kwenda kingine na nyingi zinazotumika ni zile zinazotumia umeme.

Hapa nimekuwekea hizi treni 10 ambazo ni za kifahari zaidi duniani.

TR1

Rovos Rail, ipo Afrika kusini na inafanya safari zake kati ya Pretoria na Cape Town

 

TR2

Venice-Simplon Orient Express-Inafanya safari zake kati ya London na Paris

 

TR3

The Ghan- Australia

 

TR4

The Eastern and Oriental, South-East- Asia

 

TR5

The Canadian- Canada

 

TR6

The Blue Train, South Africa

 

TR7

Iran Danube Express-Inafanya safari zake kati ya Bulgaria, Uturuki na Romania

 

TR8

The Maharajas’ Express, India

 

TR9

The Royal Scotsman- Scotland

 

TR10

Trans-Siberian Railway-Inafanya safari zake kati ya Moscow ,Beijing na Mongolia

 

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments