AyoTV

BUNGENI! Maswali makubwa 10 siku ya kwanza Mkutano wa Nane

on

Leo September 5, 2017 Mkutano wa Nane wa Bunge la 11 umeanza rasmi Dodoma ambapo baada ya kuapishwa Wabunge wapya wa Viti Maalumu wa CUF, Wabunge kuuliza maswali kwa Serikali na Mawaziri husika kusimama kuyatolea ufafanuzi.

Katika Bunge la leo nimeyanasa haya maswali makubwa yaliyoulizwa na Wabunge kisha kupatiwa majibu na ufafanuzi wa Serikali.

“Walisema Spika dhaifu wakaingia kwenye 18 zangu” – Spika Ndugai

Soma na hizi

Tupia Comments