Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Video: maamuzi mapya ya Linah toka alivyopishana kauli na Wema Sepetu.
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > beef > Video: maamuzi mapya ya Linah toka alivyopishana kauli na Wema Sepetu.
beefon air with millardayo

Video: maamuzi mapya ya Linah toka alivyopishana kauli na Wema Sepetu.

November 7, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

June 2015 mwimbaji wa bongofleva Linah aliingia kwenye headlines za kupishana kauli na mwigizaji Wema Sepetu baada ya kusemekana kalalamika kwenye Radio na kueleza kutoridhishwa kwake na kitendo cha Wema kumchukulia boyfriend ambaye alikua ni meneja wake vilevile.

Wema alipohojiwa na Diva kwenye ‘Ala za roho‘ CloudsFM alisema hakufanya kilichotokea na wala picha aliyoipost Instagram akiwa na boyfriend huyo hakuwa na maana mbaya hivyo Linah amalizane tu vizuri na mpenzi wake ambapo Linah kwenye Interview na OnAIR with Millard Ayo siku nne baadae alisema kibinaadamu alijisikia vibaya.

Maamuzi mapya ya Linah na walipofikia, tazama hii video hapa chini….

INTERVIEW YA KWANZA YA LINAH AKIZUNGUMZIA BEEF NA WEMA NDIO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

You Might Also Like

Aristote amuomba msamaha Wema kwa kauli yake iliyomkwaza ‘Sikutegemea’ (video+)

Lulu afunguka beef yake na Wema “Alinitumia sms sikumjibu”

Tazama Irene Uwoya alivyowasili kwenye royal wedding ya kwisa (video+)

Mahaba ya Alikiba kwa Wema, amuimbia live mbele ya waandishi (video+)

Exclusive:Bongozozo alivyokuja TZ, kuoa na kuachana na mke na kulala vyumba tofauti

TAGGED: Linah, Wema Sepetu
Millard Ayo November 7, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Toilet Cafe? Yes.. hii ndio Moscow, kiti, bakuli vyote kwenye umbile la choo Mgahawani.. +(Video)
Next Article Umahiri wa Cristiano Ronaldo haujaishia uwanjani pekee mcheki hapa akiimba wimbo wa Rihanna (+Video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?