AyoTV

Dakika 2 za aliyoyasema Edward Lowassa Arusha kuhusu imani yake na mengine

on

Aliyekua mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA 2015 Edward Lowassa aliyatoa haya maneno mbele ya Wananchi wa Arusha kwenye kampeni za ubunge ambapo Godbless Lema anagombea ubunge wa Arusha mjini, Lowassa alisema bado ana imani siku moja ataingia Ikulu, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kumsikiliza.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments