AyoTV

FULL VIDEO: Lowassa afunguka kuhusu mitandao ya kijamii TZ, vyeti feki, Kongamano, Rais JPM na mengine

on

Mwanasiasa maarufu wa Tanzania Edward Lowassa ameongea na Waandishi wa habari leo Dar es salaam kuhusu kongamano kuzuiwa, mitandao ya kijamii Tanzania kamzungumzia Rais Magufuli pamoja na mengine, hii video hapa chini ina kila kitu..

EXCLUSIVE: Aliyesali kwa sauti gari lisisombwe na maji afunguka, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Mzee Kikwete alivyompigia simu Ridhiwani baada ya kupiga picha na Lowassa, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments