AyoTV

Edward Lowassa alivyowasili mbele ya maelfu ya Watanzania Arusha na kutangaza nia (VIDEO)

on

Arusha

Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mbunge wa sasa wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania 2015 siku ya Jumamosi MAY 30 2015 kwenye uwanja wa mpira wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Kwenye video hii unaweza kuona alivyotangaza nia hiyo mbele ya maelfu ya Watanzania kutoka sehemu mbalimbali.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments