Mbunge wa Geita Vijijini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Musukuma ameongea kwa mara ya kwanza baada ya kukamatwa na Polisi na kulazwa rumande kwa zaidi ya saa 48 baada ya kudaiwa kuhujumu miundombinu ya maji.
Baada ya kuachiwa kwa dhamana ameongea na Ayo TV na millardayo.com kuhusu kosa lake lililofanya akamatwe na kusema pia kwamba RPC wa Geita ana roho mbaya.
MBUNGE MSUKUMA: Kaelezea kuhusu kuishia Darasa la Saba, kaeleza kila kitu