Burudani

Rick Ross atahusika kwenye Album mpya ya Diamond?

on

Leo October 11, 2017 Rapper RickRoss kapost picha nyingine katika ukurasa wake wa instagram akiwa na Rayvanny pamoja na Diamond Platnumz na kuandika caption “black bottle boys big moves, #BBB”.

Hii imesambaa kwenye mitandao ya kijamii na inasemekana kuwa hiyo ni collabo anayofanya Diamond Platnumz na Rick Ross  na inawezekana Collabo hiyo ikakamilisha album ya Diamond Platnumz ambayo alishawahi kuizungumzia kipindi cha nyuma.

Ulipitwa na hii? Tutarajie video mpya ya Diamond Platnumz na Rick Ross?

Soma na hizi

Tupia Comments