Vituko vya Pierre bado vinaendelea na hivi sasa amekuwa mtu wa kubadilisha viwanja vya kulia bata sasa AyoTV na millardayo.com zimemnasa Pierre kwenye kiwanja kipya akila bata je amehama kiwanja chake maarufu cha Liquid alichokuwa akila bata hapo awali..?
Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Pierre amefunguka.
EXCLUSIVE: Monalisa na mwanae wamefunguka ishu ya ufaulu, vipi mtoto wa Kajala?