Top Stories

Jafo atangaza kufyeka Wakurugenzi ikifika June 30 wasipotimiza hili (+video)

on

“Binafsi nimelizika na kazi inayoendelea isipokuwa deadline yangu ni ileile June 30, tumebakiwa na siku 30, niwaambie June 30 majengo yote ya Hospitali za Wilaya yanatakiwa yawe yamekamilika kujengwa hicho ndio kibarua, hili ni agizo kwa nchi nzima kuna Wakurugenzi wataondoka katika nafasi zao endapo watashindwa kutimiza deadline ya June 30 nawaambia sio jambo la kutania tania huu ndio uhalisia wa maagizo yetu” Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo akiongea Wilayani ya Mbarali Mkoa wa Mbeya akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo.

“MGOMBEA UNA MNADI MPAKA UNAPIGA PUSH UP, HATUTAKI UCHAGUZI WA KUTOA JASHO” MWENYEKITI UVCCM

Soma na hizi

Tupia Comments