Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 10: Kutoka kwenye mazishi ya baba yake Jose Mourinho
Share
Notification Show More
Latest News
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
May 31, 2023
Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano
May 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > PICHA 10: Kutoka kwenye mazishi ya baba yake Jose Mourinho
Mix

PICHA 10: Kutoka kwenye mazishi ya baba yake Jose Mourinho

June 27, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Jose Mourinho alitoa heshima za mwisho kwa mwili wa baba yake mzazi mzee Jose Manuel Mourinho Felix ambaye amefariki Jumapili akiwa na umri wa miaka 79 baada ya miezi kadhaa ya kuugua.

Mourinho aliungana na mkewe Matilde, mtoto wake wa kiume Jose Jnr na Kocha msaidizi wa United Silvino Louro.

Jose Mourinho akisaidia kuweka bendera kwenye Jeneza lililohifadhi mwili wa baba yake
Meneja wa Manchester United akionekana mwenye huzuni wakati wa kuuaga mwili wa baba yake
Mourinho na waombolezaji wengine wakilibeba Jeneza la Felix kupeleka Kanisani
Baba yake Mourinho alifariki Jumapili akiwa na umri wa miaka 79 baada ya kuugua kwa miezi kadhaa
Mke wa Mourinho Matilde (kulia akivalia blauzi nyeupe) akimshuhudia Boss wa United akibeba Jeneza la baba yake
Jeneza lililobeba mwili wa Mourinho Felix likiwa ndani ya gari kabla ya kupelekwa Kanisani
Kocha wa timu ya kwanza ya Manchester United Silvino Louro (katikati) alikuwepo pia kumfariji Mourinho
Kundi la waombolezaji wakiwa nje ya Kanisa mjini Setubal kutoa heshima zao kwa mlinda mlango wa zamani Mourinho Felix
Binti wa Mourinho Matilde akionekana kufadhaishwa huku akimshikilia mama yake pamoja na kaka yake Jose Jnr
Kocha wa Makipa wa United Emilio Alvarez Blanco (katikati nyuma) na Aitor Karanka (kushoto nyuma) pia walikuwepo

FULL VIDEO: MC Pilipili na Eric Omondi walivyochekesha DSM!!!

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

TAGGED: Pichaz, soka ulaya
Millard Ayo June 27, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Mtanzania aliyepewa mtaa Zambia tangu 1981, kaipokeaje ya Wanyama Tanzania
Next Article FULL VIDEO: MC Pilipili na Eric Omondi walivyochekesha DSM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
Top Stories May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Top Stories May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
Top Stories May 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

May 31, 2023
Top Stories

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

May 31, 2023
Top Stories

Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana

May 31, 2023
Top Stories

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

May 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?