fB insta twitter

Ujumbe wa Diamond kwa Nahreel huku akimtaja moja kati ya rapper wa kike anayemkubali

By

on

Leo December 12 2016 kupitia ukurasa wa instagram wa msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amemtakia kheri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa msanii, producer na CEO wa record label ya The Industry Nahreel.

Kubwa zaidi kupitia salamu hizo ni kuhusu Diamond kusema anamshukuru Nahreel kwa kumtambulisha rapper mpya wa kike kupitia yake record label yake Rosa ree kwani ni moja kati ya rappers wa kike anayemkubali na anaupenda wimbo wa msanii huyo  ”One Time”

VIDEO:Diamond Platnumz kuhusu kufanya collabo na msanii wa kike Tanzania

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments