fB insta twitter

VideoFUPI: Mrembo aliyepewa onyo kwa kuning’inia kwenye jengo refu Dubai

on

Mrembo Viki Odintcova kutoka Russia ambaye ni maarufu kwenye mtandao wa Instagram, alihatarisha maisha yake baada ya kuning’inia kwenye jengo refu la Dubai ili apate picha nzuri kwa ajili ya kupost Instagram.

Kipande hicho cha video baada ya kusambaa kiliwafikia Polisi na wamelazimika kumtafuta na kusaini pamoja na kuapa kwamba hatorudia tena, Bonyeza play hapa chini kutazama video hiyo.

VIDEO: Huyu Jamaa alikamatwa na bangi Kagera lakini alivyojitetea kila mtu akacheka..

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments