Video Mpya

VideoMPYA: Kolabo nyingine hii mtu wangu ya kufungia mwaka Conboi na Ibrah Nation

on

Mkali mwingine kutokea kundi la OMG Conboi au kwajina lingine Bino ameachilia ngoma yake mpya akiwa ameifanya na mwimbaji Ibrah Nation na jina la ngoma hiyo inatwa ‘Baby’.

Karibu kuitazama video ya wimbo huo hapa chini alafu usisahau kuamuachia Conboi komenti yako umeionaye video pamoja na Audio. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

SHILOLE KAFUNGUKA “Wolper aolewe sasa, nimeamia kwangu madili mengi”

EXCLUSIVE: GIGY KAPIGWA, AANDAA MWANASHERIA AMFUNGE MO J

Soma na hizi

Tupia Comments