Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Hamisi Kigwangalla ameongelea hofu ya magonjwa ya milipuko katika kipindi hiki cha mvua.
Akizungumza na Ayo TV waziri huyo alisema..>>>‘Sasa hivi kuna mvua nyingi zinanyesha nchini na mvua hizi zinaleta hali ya kutia mashaka kidogo kwenye mambo ya afya hususani magonjwa yanayoambukizwa kupitia njia ya maji kutokana na historia miezi iliyopita tulikuwa na ugonjwa wa kipindupindu nadhani tunakila sababu ya kuongeza jitihada zetu za kujikinga katika makazi yetu’ Kigwangalla
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIKOSA HII YA VIDEO YA NYUMBA 30 KATI YA 400 ZILIZOBOMOLEWA MAY 2, 2016 ITAZAME HAPA