Habari za Mastaa

PART 6: “Hata uoe wanawake 20, Mama Tiffah atabaki kuwa Mama Tiffah”

on

Ni muendelezo wa story na maisha ya Zari the Boss Lady kutokea Afrika Kusini ambapo Zari amekuwa akielezea maisha yake binafsi pamoja na mambo aliyopitia kwenye mahusiano yake yaliyopita, huku akionesha baadhi ya mali anazomili kwa sasa.

Hii ni sehemu ya sita ya story hii ambapo humu ndani Zari kazungumza kuhusu kudaiwa kuchepuka na msanii Peter wa Psquare na trainer wake, pia kaongelea na swala la kumzalia watoto kumi mume wake wasasa.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: ULOKOLE NA MAVAZI YA MUNA LOVE VYAMPA MASHAKA HUSNA SAJENT

Soma na hizi

Tupia Comments