Michezo

DoneDEAL: Azam FC wameibomoa Singida United

on

Baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018, vilabu vimeanza kupigana kikumbo kuwania saini za wachezaji wapya na nyingine kuhakikisha zinawabakiza wachezaji waliyomaliza mikataba yao.

Vilabu vya Simba, Yanga na Azam FC vinavyoaminika kuwa vizuri kiuchumi vimeanza tayari kutangaza usajili wake mpya, Azam FC leo imetangaza kumsajili Tafadzwa Kutinyu.

Azam FC leo imemsajili Kutinyu raia wa Zimbabwe kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja zaidi, Kutinyu msimu uliyomalizika alikuwa ni moja kati ya wachezaji tegemeo wa Singida United.

Soma na hizi

Tupia Comments