Habari za Mastaa

Penzi la Majizo na Lulu ni moto, Majizo athibitisha hawajaachana

on

Mmiliki wa kituo cha radio na TV ya E-FM na TV-E Francis Ciza maarufu kama Majizo leo amethibitisha kuwa yeye na mchumba wake Elizabeth Michael ( Lulu) kuwa wako sawa na hawajachana kama taarifa zilivyokuwa zikidai kwenye mitandao ya kijamii.

Majizo ambaye ameshare taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi na mpenzi wake Lulu huku bado akitarajia kupata zawadi nyingine zaidi kutoka kwa mpenzi wake huyo ambaye anategema kufunga naye ndoa hivi karibuni.

Majizo kaandika….>>>“Thank you so much Mama G Elizabeth Michael Najua huko nyumbani leo ushajipanga na squad yako!. Na vile wapo holiday! I can’t wait to be home!.” – Majizo

VIDEO: BABU SEYA ALIVYOIMBA WIMBO WA SEYA NA MWANAE KWENYE HARUSI YAKE

Soma na hizi

Tupia Comments