Habari za Mastaa

Alicios Theluji afunguka ishu ya Idris “ana mabega mazuri, nishakutana nae” (+video)

on

Staa kutoka Kenya Alicios Theluji ametaja sababu ya muziki wa Tanzania kuwa na nguvu Afrika Mashariki na jinsi anavyompenda Staa Idris Sultan

“Kweli Wasanii wa Tanzania wanajituma zaidi na naona Wasanii wa kike ni wengi zaidi na kuna collaboration nzuri kati ya Wanamuziki na Media za hapa Tanzania na inasaidia kufika mbali zaidi na muziki unakuwa mkubwa, Mimi sishindani na mtu muziki ni hisia sitafuti kuandika hit naandika kile ambacho nahisi usipoipenda sawa” Alicios

WACHEZAJI KUMI WALIOKUBUHU KUVUTA SIGARA

Soma na hizi

Tupia Comments