Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Baada ya Diamond na Alikiba, Mo Music katangaza kuja na biashara hii
Share
Notification Show More
Latest News
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Baada ya Diamond na Alikiba, Mo Music katangaza kuja na biashara hii
AyoTV

VIDEO: Baada ya Diamond na Alikiba, Mo Music katangaza kuja na biashara hii

July 12, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mwimbaji staa wa Bongofleva Mo Music baada ya kuamua kuweka nguvu na pesa akishirikiana na Baba yake Mzazi kuwekeza kwenye biashara ya Mahindi sasa staa huyo ametangaza kuja na biashara nyingine.

Ayo TV na millardayo.com zimekutana na Mo Music na kayasea haya:>>>”Nimekaa miezi mitatu nyumbani nikiwa namuuguza Baba yangu ambae alikuwa kama msimamiziwa biashara zilizokuwa nyumbani kama mashine ambayo ilikuwa ikitengeneza unga wa kusaga.

“Lakini kiukweli tulikuwa na mpango pia wa kufanya biashara ya vitungu, Karoti, Tangawizi tutakuwa tunatoa bidhaa hio Mikumi ninsingependa kuanika kila kitu hapa, pia sasa hivi mimi kama mwanafamilia tunaingia kwenye biashara kubwa sasa ambayo ni Madini tunacheza na kasi ya Rais Magufuli hatutegemei sana Manejimeti kwahiyo sasa hivi tunaingia kwenye level nyingine.” – Mo Music.

Mtanzania ambaye akikosa siti ya mbele kwenye daladala hasafiri!!!

You Might Also Like

Mfahamu dereva wa ndugu abiria anae-trend mtandaoni afunguka

Rapper Post Malone katuletea ‘Motley Crew’ (video+)

Mrembo Angelina Jolie na The Weeknd gumzo mitandaoni

Yung Bleu, Chris Brown & 2 Chainz wametuletea video maya ‘Baddest’

Warembo TXC kutua Tanzania, kunogesha ‘Arusha na DAR’ wikiendi hii

TAGGED: ayotventertainment, Mo Music
Edwin TZA July 12, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ulipofikia urejeshwaji wa fedha za Mikopo ya Elimu ya Juu (+Video)
Next Article PICHA 10: Itakugharimu Tsh. Bilioni 36.4 kununua Jumba hili la kifahari
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao

February 3, 2023
Top Stories

Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia

February 2, 2023
Top Stories

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

February 2, 2023
Top Stories

Gharama ya kupunguza uzito kwa puto, madhara yake?, Msechu Kilo 7 zimepungua

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?