Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Good news bomba la maji kutoka Tabora kwenda Mwanza limeunganishwa (+video)

on

Mradi wa maji unaogharimu zaidi ya Bilioni 600 kutoka Mwanza kwenda Tabora umefikia asilimia 71, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Emmanuel Kalobelo ameshuhudia zoezi la uunganishwaji wa bomba hilo kutoka katika bomba kuu lililopo katika Kijiji cha Solwa Mkoani Shinyanga.

Mradi huo unatajwa kuhudumia watu zaidi ya 1,200,000 “Hiki ndicho kiashiria cha sasa tunaunga bomba ambalo litapeleka Nzega, Igunga, Tabora na tunapounga leo maji hayatafika moja kwa moja lakini kufikia Novemba 2019 Miji ya Nzega itaanza kupata maji” Mhandisi Kalobelo

KAMANDA ATOA ONYO KWA TRAFFIC “MARUFUKU UKAGUZI KUFANYIKA NJE YA GARI, DEREVA USISUKE”

Soma na hizi

Tupia Comments